Add parallel Print Page Options

18 Ukweli ni huu, wakati ulipokuwa mdogo, ulijifunga mwenyewe mkanda wako kiunoni na kwenda ulikotaka. Lakini utakapozeeka, utainyoosha mikono yako,[a] na mtu mwingine atakufunga mkanda wako. Watakuongoza kwenda mahali usikotaka kwenda.”

Read full chapter

Footnotes

  1. 21:18 utainyoosha mikono yako Kunyoosha mikono ilikuwa no njia ya kawaida ya kusema juu ya kusulubishwa.