Font Size
Yohana 7:22-23
Neno: Bibilia Takatifu
Yohana 7:22-23
Neno: Bibilia Takatifu
22 Lakini kwa kuwa Musa aliwaamuru kutahiri watoto wenu wa kiume, ingawa kwa kweli si Musa aliyeanzisha desturi hii ila ni mababu zenu, mnamtahiri mtoto hata siku ya sabato. 23 Ikiwa mtu aweza kutahiriwa siku ya sabato kusudi sheria ya Musa isi vunjwe, kwa nini mnanikasirikia kwa kumfanya mtu kuwa mzima kabisa siku ya sabato?
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica