67 Yesu akawauliza wale wanafunzi kumi na wawili, “Ninyi pia mnataka kuondoka?” 68 Simoni Petro akamjibu, “Bwana, tuondoke twende kwa nani? Wewe unayo maneno ya uzima wa milele. 69 Tunaamini na kujua kuwa wewe ndiye Mtakatifu wa Mungu.”

Mungu.”

70 Yesu akajibu, “Je, sikuwachagua ninyi kumi na wawili? Lakini mmoja wenu ni shetani!” 71 Hapa alikuwa anamsema Yuda, mwana wa Simoni Iskariote ambaye, ingawa alikuwa mmoja wa wale kumi na wawili, baadaye angemsaliti Yesu.

Read full chapter