Yakobo 5:7
Neno: Bibilia Takatifu
Subira Na Mateso
7 Kwa hiyo, ndugu zangu, muwe na subira mpaka Bwana atakapo kuja. Angalieni jinsi mkulima anavyongojea ardhi itoe mavuno mazuri, jinsi anavyongojea kwa subira mvua za mwanzo na za mwisho.
Read full chapter
Yakobo 5:7
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
Uwe Mstahimilivu
7 Hivyo kina kaka na kina dada, muwe na subira; hadi kuja kwa mara ya pili kwa Bwana. Kumbukeni kuwa mkulima huyasubiria mazao yake yenye thamani yakue ardhini. Huyangoja kwa subira mpaka yapate mvua za masika na za vuli.[a]
Read full chapterFootnotes
- 5:7 mvua za masika na za vuli “Mvua za masika” zilinyesha mwanzoni na “mvua za vuli” zilinyesha mwishoni.
James 5:7
New International Version
Patience in Suffering
7 Be patient, then, brothers and sisters, until the Lord’s coming.(A) See how the farmer waits for the land to yield its valuable crop, patiently waiting(B) for the autumn and spring rains.(C)
Copyright © 1989 by Biblica
Copyright © 2017 by Bible League International
Holy Bible, New International Version®, NIV® Copyright ©1973, 1978, 1984, 2011 by Biblica, Inc.® Used by permission. All rights reserved worldwide.
NIV Reverse Interlinear Bible: English to Hebrew and English to Greek. Copyright © 2019 by Zondervan.