12 kumbukeni kwamba wakati ule ninyi mlikuwa mmetengwa na Kristo, mkiwa mmefarakana na jumuia ya Israeli na mkiwa wageni kuhusu yale maagano ya ahadi. Mlikuwa hamna matumaini wala Mungu duniani.

Read full chapter

12 Kumbukeni ya kwamba zamani hamkuwa na Kristo. Hamkuwa raia wa Israeli na hamkujua kuhusu mapatano ya maagano[a] ambayo Mungu aliyaweka kwa watu wake. Hamkuwa na tumaini na hamkumjua Mungu.

Read full chapter

Footnotes

  1. 2:12 maagano Maagano au ahadi maalum ambazo Mungu alizitoa nyakati tofauti kwa watu katika Agano la Kale. Tazama Agano (Makubaliano) katika Orodha ya Maneno.