Tulikuwa tumepoteza muda mrefu baharini na kwa wakati huu safari ilikuwa ya hatari kwa maana majira ya kufunga yalikuwa yamekwisha pita. Paulo akawaonya marubani wa ile meli akasema,

Read full chapter

Tulikuwa tumepoteza muda mwingi, na ilikuwa hatari kutweka tanga, kwa sababu tayari ilikuwa baada ya siku ya Kiyahudi ya kufunga.[a] Hivyo Paulo aliwaonya akasema,

Read full chapter

Footnotes

  1. 27:9 siku ya Kiyahudi ya kufunga Siku ya Upatanisho, siku muhimu na takatifu ya Kiyahudi nyakati za miti kupukutisha majani yake. Huu ulikuwa wakati ambao dhoruba kali hutokea baharini.