Paulo Afikishwa Mbele Ya Mfalme Agripa

13 Baada ya siku chache mfalme Agripa na Benike wakafika Kaisaria kumkaribisha Festo.

Read full chapter

Festo Amwuliza Mfalme Agripa Kuhusu Paulo

13 Siku chache baadaye Mfalme Agripa pamoja na dada yake aliyeitwa Bernike[a] walikuja Kaisaria kumtembelea Festo.

Read full chapter

Footnotes

  1. 25:13 Bernike Dada yake Mfalme Agripa, binti mkubwa wa Herode Agripa wa Kwanza.