Font Size
Matendo Ya Mitume 12:1-3
Neno: Bibilia Takatifu
Matendo Ya Mitume 12:1-3
Neno: Bibilia Takatifu
Malaika Amtoa Petro Gerezani
12 Wakati huu mfalme Herode aliwatesa vikali baadhi ya waamini katika kanisa. 2 Akaamuru Yakobo, ndugu yake Yohana, auawe kwa upanga. 3 Alipoona kuwa kitendo hicho kimewapendeza Wayahudi, akaamuru Petro akamatwe. Hii ilitokea wakati wa Sikukuu ya Mikate isiyotiwa chachu.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica