Add parallel Print Page Options

65 Yesu akasema, “Ndiyo maana nilisema, ‘Hayupo hata mmoja ambaye anaweza kuja kwangu pasipo kusaidiwa na baba.’”

66 Baada ya Yesu kusema mambo hayo, wafuasi wake wengi wakamkimbia na wakaacha kumfuata.

67 Yesu akawauliza wale mitume kumi na wawili, “Nanyi pia mnataka kuondoka?”

Read full chapter