65 Akaendelea kusema, “Ndio sababu nili waambia kwamba hakuna awezaye kuja kwangu kama Baba hakumwe zesha.”

66 Tangu wakati huo wanafunzi wake wengi waliondoka wakaacha kumfuata. 67 Yesu akawauliza wale wanafunzi kumi na wawili, “Ninyi pia mnataka kuondoka?”

Read full chapter