Mpango Wa Kumwua Yesu

45 Wayahudi wengi waliokuja kumfariji Mariamu, walipoona yaliyotokea wakamwamini Yesu. 46 Lakini wengine walikwenda kwa Mafarisayo wakawaambia mambo Yesu aliyofanya. 47 Kwa hiyo maku hani wakuu na Mafarisayo wakafanya baraza wakaulizana, “Tufa nyeje? Huyu mtu anafanya ishara nyingi.

Read full chapter