Add parallel Print Page Options

17 Hiyo ni kusema kuwa,
    sheria ililetwa kwetu kupitia Musa.
Lakini neema na kweli imekuja
    kupitia Yesu Kristo.
18 Hakuna aliyewahi kumwona Mungu
    isipokuwa Mwana peke yake,
ambaye yeye mwenyewe ni Mungu,
    ametuonesha jinsi Mungu alivyo.
Yuko karibu sana na Baba
    kiasi kwamba tunapomwona,
    tumemwona Mungu.

Yohana Azungumza Juu ya Kristo

(Mt 3:1-12; Mk 1:1-8; Lk 3:1-9,15-17)

19 Viongozi wa Kiyahudi kule Yerusalemu walituma baadhi ya makuhani na Walawi kwa Yohana kumwuliza, “Wewe ni nani?” Yohana akawaeleza kweli.

Read full chapter