Font Size
2 Wakorintho 3:17-18
Neno: Bibilia Takatifu
2 Wakorintho 3:17-18
Neno: Bibilia Takatifu
17 Basi, Bwana ni Roho, na mahali alipo Roho wa Bwana pana uhuru. 18 Na sisi sote ambao nyuso zetu hazikufunikwa tunaonyesha, kama kwenye kioo, utukufu wa Bwana. Nasi tunabadilishwa tufanane naye, kutoka utukufu hadi utukufu wa juu zaidi, ambao unatoka kwa Bwana ambaye ni Roho.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica