14 Na hii si ajabu, kwa sababu hata shetani hujigeuza aonekane kama malaika wa nuru.

Read full chapter

14 Hilo halitushangazi sisi, kwa sababu hata Shetani mwenyewe hujigeuza na kujifanya kuwa malaika wa nuru.[a]

Read full chapter

Footnotes

  1. 11:14 malaika wa nuru Mtumishi au tarishi wa Mungu. Shetani anawadanganya watu waone kuwa ametumwa na Mungu.