Font Size
1 Petro 5:1-3
Neno: Bibilia Takatifu
1 Petro 5:1-3
Neno: Bibilia Takatifu
Maagizo Kwa Wazee Na Vijana
5 Ninawasihi wazee waliomo miongoni mwenu, nikiwa mzee mwenzenu na shahidi wa mateso ya Kristo na mshiriki katika utu kufu utakaofunuliwa. 2 Lichungeni kundi la Mungu mlilokabidhiwa, si kwa kulazimishwa bali kwa hiari, si kwa tamaa ya fedha bali kwa moyo wenu wote. 3 Msijifanye mabwana wakubwa kwa wale mnaowa chunga bali muwe vielelezo kwa kundi hilo.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica