16 Je? Kikombe cha baraka ambacho tuna kibariki, si ushirika katika damu ya Kristo? Na mkate tuumegao, si ushirika wa mwili wa Kristo?

Read full chapter

16 Kikombe cha baraka[a] tunachokitolea shukrani ni ushirika wa sadaka ya damu ya Kristo, sawa? Na mkate ule tunaomega, ni ushirika wa mwili wa Kristo, sawa?

Read full chapter

Footnotes

  1. 10:16 Kikombe cha baraka Kikombe cha divai ambacho waamini katika Kristo humshukuru Mungu katika Mlo wa Bwana (Meza ya Bwana au sakramenti).