Font Size
1 Wakorintho 10:15-17
Neno: Bibilia Takatifu
1 Wakorintho 10:15-17
Neno: Bibilia Takatifu
15 Nasema nanyi kama na watu wenye ufahamu. Amueni wenyewe kuhusu haya niyasemayo. 16 Je? Kikombe cha baraka ambacho tuna kibariki, si ushirika katika damu ya Kristo? Na mkate tuumegao, si ushirika wa mwili wa Kristo? 17 Kwa kuwa kuna mkate mmoja, sisi tulio wengi, tu mwili mmoja, kwa kuwa tunashiriki mkate mmoja.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica