Font Size
Ufunua wa Yohana 1:17-18
Neno: Bibilia Takatifu
Ufunua wa Yohana 1:17-18
Neno: Bibilia Takatifu
17 Nilipomwona, nilianguka miguuni pake kama mfu. Lakini yeye akaweka mkono wake wa kulia juu yangu akasema, “Usiogope. Mimi ni wa kwanza na wa mwisho. 18 Mimi ni Yeye aliye hai; nili kufa na tazama, mimi ni hai milele na milele! Nami ninazo funguo za mauti na kuzimu.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica