Font Size
Yohana 8:56-58
Neno: Bibilia Takatifu
Yohana 8:56-58
Neno: Bibilia Takatifu
56 Baba yenu Ibrahimu alishangilia alipojua kuwa atashuhudia siku ya kuja kwangu. Aliiona siku hiyo na akafurahi sana.” 57 Wayahudi wakamwambia, “Wewe hujatimiza hata miaka hamsini, itawezekanaje uwe umemwona Ibrahimu?” 58 Yesu akawa jibu, “Nawaambia wazi, kabla Ibrahimu hajazaliwa, ‘Mimi nipo.’ ”
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica