Font Size
Wakolosai 1:16-17
Neno: Bibilia Takatifu
Wakolosai 1:16-17
Neno: Bibilia Takatifu
16 Yeye ndiye ali yeumba vitu vyote mbinguni na duniani; vitu vinavyoonekana na visivyoonekana; kama ni viti vya enzi au nguvu, au watawala au milki na mamlaka: vyote viliumbwa na yeye kwa ajili yake. 17 Yeye alikuwapo kabla ya vitu vingine vyote na kwa uwezo wake vitu vyote vinahusiana kwa mpango.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica