
1 Yohana 1:3 Neno: Bibilia Takatifu (SNT)3 Tunawa tangazia hicho tulichokiona na kukisikia ili nanyi pia mpate kushirikiana nasi. Na ushirika tulio nao ni wetu na Baba na Mwa nae Yesu Kristo.
Neno: Bibilia Takatifu (SNT) Copyright © 1989 by Biblica |