Malaika Amtoa Petro Gerezani

12 Wakati huu mfalme Herode aliwatesa vikali baadhi ya waamini katika kanisa. Akaamuru Yakobo, ndugu yake Yohana, auawe kwa upanga. Alipoona kuwa kitendo hicho kimewapendeza Wayahudi, akaamuru Petro akamatwe. Hii ilitokea wakati wa Sikukuu ya Mikate isiyotiwa chachu.

Read full chapter